
π₯ what's forex trading? π€π€
umecheki post mahali msee akisema ana_offer forex classes, "quite common this days" but unakuwa skeptical juu hajui how to go about it, worry no more acha nikupee brief Kiasi forex trading ni Nini in simple termsπ―
π‘forex trading basically involves buying and selling of foreign currencies, for example juzi umeona trends on Twitter ama hizo platforms zingine etii dollar imefika 150 Kenya shillings? Na kama unaeza recall January hii mwaka ilikuwa kitu 118 or so , kama ulikuwa umeeka dooh zako in dollars hii inflation haingekuaffect. kama tuu Kenya nchi zingine pia u_experience hizi price movement either currency inakuwa strong ama weak juu ya fundamental factors kama economy, wars and things like that , so Kama trader una_leverage hizo price moment, buy a currency you feel will be stronger (or increase in value) and if the value goes up you make profit and if the market goes against you , you make loss,
π‘hii ni simplified version to help you get the main idea, ofcourse kuna factors kama capital, analysis strategy na platform utatumia unafaa kuconsider before uingie kwa hii biz ,
π‘ Discipline is key , take your time to learn with a demo account before uanze kutrade na dooh zakoπ―
π‘ It's a risky venture ,unaeza lose dooh zako zote , so kuwa careful na analysis na vile unahandle account yako,
π‘Kama ukona swali feel free kuuliza hapo kwa comment section I can help you get started πͺπ₯ #TUJENGANE

