
What's important ? 🤔
It's hurts sometimes kukuwa na dooh alafu u_misuse, ama kuchukua loan mahali upige sherehe alafu ifike time ya kulipa sasa , ama kuoshwa dooh online kwa scams ukijaribu kuinvest umake dooh mob, sometimes knowledge is your best bet , but you can still make financial mistake , so kama msee wa biz , what are you doing to improve your financial discipline ?? 🤔 Savings na knowledge ya loans ukuwa vital sana kwa biz 💯
0
0
0