
What's up my beautiful people ?
Naaminia mchana yetu ipo swadakta sana, Jana EPRA wame release new Fuel prices increase in Kenya which to me it is a bad sign. As we know Petrol prices in Kenya hu determine the economy growth, now a top Inflation is coming na life ni hard vinoma sana, mnafikiri as YOUTHS of this country tunafaa kufanya nini? Nani wapi tumekosea au tunakosea?
To me it is not going to be easy now living in Kenya, TUNAFAA TUONGE SASA.
Najua tuna madeni from China as a Country but then hatufai kuwa in such scenario ambayo tunapitia, Kenya ni yetu pia, Wanangu Oyaaaa Tubongeni sasa, it is that time. Am going to forward this conversation to the representatives responsible
0
0
0