
What You Need to import Mtumba Bales
C. Import declaration form (IDF)
IDF shows one's intent to bring in goods kutoka kwa foreign country. Mtu anafaa kuenda kwa KRA na KEBS kabla kupata hii form. By the way hii IDF kukua free of charge.
Application ya IDF hufanywa kabla goods kutoka kwa the country of origin.
Kesho we will talk of the next important document needed, kaa rada🙂
0
0
0