
When it come’s kwa kutaka ufungua your Dream Biz. How do you find your market place? Its essential kufanya market research kwanza.
- Confirm kwanza hizi vitu unadai kuuza ziko viable kwa market ya idea yako.
- Identify target audience yako nigani.
- Nipoa sana ku undertand your competitors na market trends. Nikitu gani huyo competitor wako hafanyi na unaweza implement kwa idea yako ndo I work through.
Remember usichome pesa yako kwanza. Fanya hiyo market research kwanza and understand your bizz itakua poa sana.
0
0
0