
When it comes kwa Chapati and Mandazi business What are some of things hukutoa timing and infanya unafukuza customers??????
- Ni Hygiene yako ndo mbaya sana, unapata the same hand unashika nayo pesa it’s the same hand unashikia customer mandazi ama chapati and some of the customers hukua sensitive sana with this na hawawezi kuambia they will end up leaving alafu wewe utashindwa kwani rada siku izi nigani, mbona sipati customers.
Hapa kwa comment section what are some of the solutions unaweza Saidia msee wa Chapati na Mandazi moto pale mtaani kwa kindaski ndo asi loose customers due to hygiene issues?

0
0
0