
When it comes to logo design lazima you show the client where the logo can be used on different application.
Mockups huwa useful sana kwa zile harakati za presentation. hizo ndo huboost scores zako coz client ashapata enough evidence your design iko verified 💯.


0
0
0