When you think nothing is happening, the clock is still ticking. Kaa rada na time yako. Make sure unatumia time yako kujenga hustle, kulearn skill mpya ama kuperfect skill uko nayo.