
Where nilipata my first 1k was funny.
2020 nlinunua mahindi Gorogoro kumi kwa 300. Najua unashangaa🤔 Kuna watu hukuja kushiaga tingatinga na Hana pesa za kushiaga. So Inabidi auze mahindi Gorogoro kama moja ndo ashage. So I took that opportunity nkanunua. Then after 3 weeks mahindi ilipanda upto 120 Gorogoro moja. Nliuza ten Gorogoro for 1200 🤗. Profit ilikuwa poa. Lesson was use the opportunity well.
0
0
0