
Whether wewe ni msee wa Video editing, Audio production, illustration, kuna time unaeza feel "productive" kuzubaia blank screen until a brilliant idea ama inspiration ikukujie. Hapa niko na tips kadhaa za ku keep on track even time yenye you can't figure place ya kuanzia.
🎨Kuwa na Professional Mindset; ile design una work on schedule and kuwa disclined 🎨Kuwa na Physical and Digital workspace ile design uko away from stuff kama TV ama interaction 🎨 Saa ingine we chapa collabo ama delegate kwa zile area haujaivana sana. Itisha help
Kuwa na great creative weekend.

0
0
0