
Which one is your first #priorityπ―π―π―
1.Wealth 2.Health
Wazupp ma people π karibuni sana tena kwa ile segment yetu moto kama pasi ya makaaaπ₯π₯π₯ Welcome to Brian's Health Corner πππππ₯π leo nimeuliza swali nini wewe hutaka kiwe number one thing kwa life yako between #health and #wealthπ€π€π€
anyways that aside,,,,,did you know that drinking plenty of water keeps you refreshed and cool throughout your life,,,,,,but leo nadai kushow apart from #maji ya kawaidi pia #watermelon is a good supplier of water kwa body just like the common water,,,make a routine ya kula ππππππutawahi waba na pia vitamins kwa body πͺπͺ ukiwai time pitia pale mtaani tukule #Watermelons tupate maji mob kwa mwili
