
While in campus tulikuwa tunauzia mastude wenzangu burgers at cheap prices (70 - 100) as compared to zile za Tao Kwanzaa 250 kupanda . The trick on making profit was using brawns zile za kutoast instead of big Chunks of meat atleast tumake profit and it worked. 2020 nikiwa mtaa nikaitry with a partnership na beshte yangu alikuwa na joint ya chips tukifanya deliveries na kuuza hotdogs pia na response ilikuwa fiti. Naplan kurudia the same idea kuuzia workmates wangu kwa ofisi najua itajipa.
0
0
0