
While some MESHers wa Mtush wanalia hakuna customers, kuna wengine who sell their Mtush kwa different markets in different days considering ni "Siku ya Soko" kwa market gani leo.
Kukiwa na challenges, don't quit, try looking for a possible solution. #SisiNiMESH
0
0
0