
Who else got this online training from jiinue growth program?.. Wamenienroll kwa class sasa nikimaliza wanipee certificate Wanafaa wanipee kazi sasa hii loan nayo naitumia sana 🤣🤣 kazi ni kuinuana na bado nk na request kutoka kwao i hope watanipea something positive iyo siku ikifika #jiinue

0
0
0