
Who is the biggest asset kwa bizna yako? Mostly ukua customers coz wao ndo wanakuletea mapato kwa bizna . Ndio maana kukua na good relation na customers wako ukua important.. Cheki hizi quick tips za kukua na good relation na customers wako.
1.be transparent na customers wako eg products zako
2.be a listener.skiza kenye customer anasema na opinions zake.
3.positive attitude.customer hupenda mtu outgoing na as required ukue na good attitude towards them.
4.Give feedback.pea customers wako feedback wanahitaji eg products ama services
0
0
0