
Why Ugali will soon become a costly meal...
Eti Kuna shortage kubwa ya mahindi 🌽 nchini mpaka flour millers wengine wame-suspend operations temporarily.
This will most def push up flour prices as we are already seeing in Supermkts.
Watu wa Kitale(Western)🧑🌾 na counties zingine, gorogoro 🥫moja ya mahindi saa hii imefika ngapi? Na hii shortage ni Nairobi tu au kote nchini?
Check out the story below 👇 https://nation.africa/kenya...

0
0
0