Why Your Gadgets Hate Rainy Weather! ⛈️ Mvua inakuja na gadgets zinaanza kusumbua TV signals zinaenda, simu zinafreez, na laptop inapiga overheating. Ni nini inahappen, na unafaa kufanya nini?