Why Your Online Biz Posts Are Not Working (And How To Fix Them)
MESHers, tuseme ukweli. Watu wako busy sana. Wakiona post ya biz yako, hawana time ya kuuliza ten questions. Lakini mara nyingi tunaona adverts bila jina ya biashara, location, product details, prices ama how to order. Hiyo ina-make wasee wapite tu, hata kama wangependa kununua.
Important details every biz post inafaa kuwa nazo:
- Jina ya biashara and what you sell, for example “Ibrahims Styles – Ladies’ sandals and doll shoes.”
- Clear location town, estate or landmark and whether you do delivery.
- Short description of products colors, sizes, who they fit best.
- Prices or at least a price range so customer ajue kama ako within budget.
- How to order WhatsApp number, call or DM na preferred hours.
- Good, clear photos zenye zinaonyesha product vizuri.
- Any extra info like offers, delivery fee, payment options.
Wewe ukiscroll MESH or socials, huwa unaskip posts gani na kwa nini
Na ukiangalia adverts za biz yako, kuna detail gani moja utaanza kuadd from today so customers wasipitie tu Hebu tuandikie hapa chini, tuhelpiane kuboost sales zetu online.
0
0
0