
Why Your Phone Charger is Lying to You! Ushawahi notice simu yako ikisema 100% charged lakini baada ya dakika chache iko 99% tena? Ama unatoa charger, alafu battery inaisha haraka kuliko kawaida? š Hii ni kwa sababu most modern phones zinatumia Battery Management Systems (BMS) ambazo haziruhusu battery ijaze 100% kwa ukweli. Hapa kuna mambo machache unafaa kujua:
ā 80% Charge Rule ā Simu nyingi husimama kwa 80% halafu zinarusha hiyo 20% ya juu polepole to "protect" the battery life.
ā Fast Charging ni trick tu! ā Ile spidi ya kuchaji haraka unayoona kwa simu mpya ni kwa sababu charge ya kwanza hadi 80% ni rapid, then slows down sana after that.
ā Battery Wear & Tear ā Kuchaji simu hadi 100% kila siku kunaweza kuchosha battery faster. Experts wanapendekeza ku-charge between 20%-80% to keep battery healthy longer.
Ushawahi hisi simu yako haishiki charge vizuri? Ama kuna charger imekudanganya kabisa? Drop your experiences hapa!