
with 10k mimi kama comrade i can start a part time business ya kuuza kahagwa na mandazi kila jioni kwa town. ntabuy hiyo flask kubwa, sukari, tampler, unga ngano, mafuta ya kupika na ndoo ya kueka mandazi. nikimaliza classes zangu jioni ntakuwa nikiunda mandazi na strong tea. kwanzia 5 jioni hadi around 8pm ntakuwa nmemaliza kuuza. na hii biz hata after kumaliza masomo ntakuwa na capital ya kuanzisha biz ingine kama salon juu niko na skills za kusonga.
10k challenge
0
0
0