with 10k ntabuy viazi na nitaanza biz ya kupika chips. ntabuy viazi gunia mbili, mafuta ya kupikia, visu , vijiko na sahani. pia ntakuwa nikiunda kachumbari na kuuza soda kwa hii biz. hii haitakuwa mbaya kwa biz inayoanza
#biz challenge
0