
With the change of things watu most saa hii wame opt for self employment coz si kila mtu anapata desirable job yenye anataka kwa job market. Wewe kama retailer na hawker mostly mko self employed..kuna advantages mob za kua self employed kama;😇
1.kukua independent. This is because uko in full control of ur business and its daily activities.
2.explore passion and interest. Ukijiemploy utaweza kuventure in what u do best freely kama business yako eg kama uko passionate about beauty unaventure to that business.
4.juu wewe ndo boss unaweza plan ur own time and schedule venye unadai.
5.no financial limit..akuna mtu anarule kenye utaget after the financial rounds kama vile mtu employed ukua na fixed mshahara...kwa self employent ni kucheza na good entrepreneur skills na unaanza kuget mapato bila limit.
#mesh #meshislife
