
With the ongoing "5-Week Kuomoka Challenge", here are 2 take-away tips that can be of great help kwa wakulima.
🧾Key to understanding vile kilimo una-perform ni RECORD. Track income na expenses zako and make sure uko na reliable method ya ku record each activity.
🧾Ukiwa na record, its easy sasa kuanza kuchapa BUDGET. Squeeze each expense getting the best bargain, then make sure una increase income base. With budget na records unaeza ona ile produce inakupea mullah fiti with little production cost/expenses.
Hii challenge ni fiti sana na sio tu kwa wasee wako biz but pia sisi wakulima. Iko na practical tips. Join hapa https://mesh.life/app/group...
0
0
0