
Wolan Wolan Wolan,,,good people ๐ karibuni sana kwa segment yetu ๐ช๐ช noma sana๐๐yaani back to the basics ๐ฏ๐ฏ
Welcome to Brian's Health Corner ๐๐๐๐ yaani hapa unaget chance ya kuuliza maswali kuchangia na pia kulearn vitu most zenye hukuwa unajua๐ฅญ๐ So leo nadai kuchanua kiasi about #mix Moja pale mtaani inaitwa #smoothie,,,,,I know most of you have come across this product na mkajibamba vinoma sana ๐ช๐ชbut hujawai jua hii stuff hutengenezwaje,,,so all you need is a simple mix of products for a example:
- banana 1.apple/mango/imported orange/grapes 1.strawberry 1cup of yoghurt,,,,,
weka hizo stuff kwa blender then blend it ๐ฏcome tomorrow and give us the testimonies๐ ๐ ,,, keep it locked #Brians Health Corner every Wednesday ๐ฏ๐ฏ enjoy your #smoothie with your friends ๐๐๐like @[Devin Prince]
