
Woshy anaeza visit kamukunji atafute shops za kusell footwear at wholesale prices.Prices zitarange from 200-500 anaeza negotiate auziwe in bulk apate discount.Akitoka hapo anaeza kuwa na 30-50 pairs. Next step since probably hana physical location nikuset up an Online presence by creating a WhatsApp group na pages Facebook, Instagram na Mesh Woshy anaeza tafuta support from friends and family Kwa pricing Woshy anafaa aconsider competition na profit margin zake kama amepurchase 250 akiuza 500 itakuwa reasonable Kwa Marketing anaeza eka promotions buy 2 and get a discount for 1 Kitu ya mwisho important anafaa kuset up a separate a/c ya biz maybe Pochi ya biashara #ShoeBiz
0
0
0