Woshy nmekuwa nikitumia hii strategy kujua what stock to bring by posting photos of the products then nione ni gani inavutia watu then i bring it other thing is keeping the prices real ukitaka kuachieve sales itabidi ucheze na bei nafuu coz if u sell expe but kidogo then u sell cheaper but more u see cheaper ataiba mpaka customer wote
0
0
0