
Wueh! 2022 imekua tough kiasi but si ni life? Kawaida Biz huwa na ups🔝 and downs👎😓 Inabidi tume-celebrate🎉 wins zetu pamoja hata kama ni small aje!
Kama uli-manage basic needs, kuanza biz, hustles, ku-get customers ama ulipata verified badge on MESH baada ya kumaliza courses!
Tuchapiane! Wins zako this year zilikua gani?
0
0
0