Wueh! KRA sasa wataanza kufuatilia mobile money transactions. 📱💰
Ukifile nil returns lakini bado unareceive doh kwa simu, unaweza ulizwa uexplain hizo ni za nini. 😄