
Wueh nimecheki wasee wanapost sana kuhusu hii story ya loans. Kwani kunaendaje? Usiniambie hii fom ya loans inakatika tu hivi. Eneza ni watu wanatuelewa sana as meshers na hawatukazii life. Imagine kama ingekua deni ya kampuni zingine. Hadi relatives wangekua washapigiwa simu.
Nilidelay na yangu kidogo tu. Ni venye challenges zimekua kibao sijaezakumake profits. Lakini nishaanza kulipa leo. Sitaki kuchomea wenzangu ak
0
0
0