
Wueh! So China wameamua kufungua roho bana 😳!
Imagine designer brands wana-make clothes, shoes & bags China for less than $30, then wanazipeleka US wanauza from $500 hadi $5000.
Watu wana-buy thinking ni vitu “original” 😭 kumbe quality ni ile ya kawaida ni kuprint jina tu😂.
Usha-buy hizi brands funny? Ilikua gani? Weka jina kwa comments.

0
0
0