
Wueh! 🤦♂️ Ushawai kuwa na dead stock- Yaani stock haisongi? Stock wasee hawataki ku-buy? One of our own Eunice Daniel, alikuwa na hii shida na anatuchapia tips za ku-handle situation kama hii. Watch vida yake alafu ongeza tips zako kwa comments pia! 👀 Tujengane na solutions 💯
Kama unadai kucheki more tips, tupatane hapa ⏩ https://mesh.life/app/bizvi...

0
0
0