Wueh.....Bei ya maziwa nayo inaenda kupanda? π
Kwenye uko una-experience shortage ya maziwa? π€
Supply ya maziwa ime-drop na kuna shops na supermarkets zina-ration π¬
Hapa Naivas ya Donholm huwezi buy more than 5 packets, packet ya maziwa imepanda from 60 bob to 75 bobπ
Economy ni mbayaaa..Nikama tutakunywa sturungi
Whatβs your take? ππΎ
0
0
0