
Yes buda kibandaski ni biz poa ju food lazima idumbuliwe daily na wasee,.but sasa you need to make a few considerations before you venture into a biz, any for that matter,.i.e.
- First and foremost the location, hakuna kitu mbaya kama kupika food alafu zikose kukuliwa ubaki nazo ka yote, hiyo ni hasara ju madondo kwanza ni highly perishable
- Alafu license, ndo ukuwe on the safer side unafaa you grab a kibandaski license ndo usisumbuane na makanjo, ati kila time umeskia wanakam umefunga, wewe huyoo siaka
- Alafu you tafuta mtu wa mkono, sana sana msupa, ju wasee wengi huenda baze kuna karembo kama customer service
- So tafuta place penye hata ukirent isipite 2k ju ndo unaanza, don't go for somewhere expensive
- Alafu enda grab utensils za maplanyo mob sana huko kwa soko, masufuria kadhaa, flask ya kukeep chai moto all the time and then pia uangalie vile unaput up some seats, hata kama ni benches za mbao..
- Then usianze na stock mingi, just in case biz ibackfire ju that's also possible
- So ukiget k ya kama kapa selasa hivi iko sawa
0
0
0