
Yes it true especially youths they don't like the job but Kuna some few factor zenye zinafanya mtu kuogopa kama Vile Kuna brokers ukishatoa kenye unafanya farming invitations ukue na prokers ndio uuze na unauze bei ya chini Two processes ya production ni hectic sana inabidi msee akue na roho juu ndio aweze kuget good results Price ya kila kitu inaendelea kuongezekaa sasa hadi unapata unafanyia looses Support ya gave iko minimally available ama hakuna Na the most you upreffer kuget end product na wapate pesa hapo hapo awana hiyo patience this make the farming part not easy to accept
0
0
0