
Yesterday nilipost promo ya biz yangu hapa Mesh na maze nimenotice even legit businesses za vijanaa kuhustle zitaanguka.
Inafaa tuwache GNLD and AIM global mentality. Tujengane......
kuna msee alisema biz yangu ni red flag. Na maze sijaitisha msee doh na sijaita mtu training 🤣
Nilisema ukitaka kumake some money, refer someone.
Before calling someone's business a scam, I think inafaa tufanye research.
Nilipeana Demo account opportunity and there are people still using it. Kama hukutumia demo, take a seat. Sio lazima ucomment, nyamaza tu.
Thanks.
0
0
0