
Yo, 2024 imekuwa fire!🔥🔥 Hii mwaka imekuwa ya growth kwa channel yangu – tumepiga +1,923 subscribers, na hiyo ni 228% more growth compared to last year! 🚀💜
Lakini sio story yangu tu... channel yako imekuwa aje this year? Growth imekuwa fiti? Content gani imehit sana? Maresolutions za 2025 ni zipi?

0
0
0