
Yo,
Opportunity ya ma-creatives ndio hii sasa. Kosa, uchekwe nani! A business incubation program kwa msanii yeyote male or female. Males have a 20% slot. Ukimaliza hii program, utapewa grant if you pitch your biz idea successfully.
Unangoja nini bana? Apply Leo⏬ ✨

0
0
0