
Yo wadau mmecheki hizi hao mpya za containers ..At first nikikua nafikiria ni za biz peke but yeah kunazo. Wasee tumezoea kuona na kuplan kubuild hao za mawe but tupee the container houses chance. Kawaida inakuja na benefits zake
- Mazee msee uaneza kusave on alot of cost compared to the nyumba za mawe coz getting the raw materials ain't cheap.
- Manze constuction time inakua minimize by maybe half or even more kwa sababu hao inakam na walls tarari na hadi roofing.
- Ushawahi sikia hama na nyumba yako😂. as funny as it is ziko portable mbaya sana
- durability pia ni factor hapa si ati nini Would you leave in such a house guys ?



0
0
0