
Yoh NEW MESHers! Youv'e made the right decision. Karibuni hapa ndo vitu zina-happen. Tuambiane ukweli, young people ni sisi tutajisort. What is MESH? Hapa msee ana-benefit aje?🤔
MESH ni community ya young SERIOUS Kenyan’s wenye wako in various hustles. Hapa hivi we work together by sharing ideas, inspirations na opportunities.
Hii ni baze ya kuokoleana! Kama ungetaka kua connected to a Mentor / a Supplier ama msee anaeza kuku-sort na kitu unahitaji kwa hustle yako we got each other covered.
Let’s do this! Tujijenge 👏🤝
0
0
0