
Yoh niaje maguys? Naitwa Denis but wasee hunijua kama One Deno. Mi hustay Eldoret, Uasin Ngishu. Sasa wadau mimi nilifanya electrical engineer na nilimaliza 2021 and sijaget job. Alafu pia niko na skills za photography but sina camera ama tools yeyote ya photography. Kindly kama uko na uwezo link me up any gigs za hizi two fields. I will be grateful. Unaezanireach through call/sms/WhatsApp kwa 0758730011

0
0
0