Yoh wadau ... Ive been on this platform kutoka feb ... Nimekuwa na a banging biz idea but nahitaji investors ... Hii idea nikonayo aim yake ni ku create wealth for my family and for kenya but along the way i aim to create jobs for the youth. Na ikona potential mbaya .. itafungua side ingine watu hawajai ona .. its related to tourism and travel and its an untapped market .. mtu anaeza reccomend any potential sharks kwenye naeza pitch hii idea please niambie... Na msiseme tourism fund ju government yetu ishatufail tayari na portal zao haziwork nshajaribu... Please help.. adui ni poverty
0
0
0