
Yooh niajeni mi naona kujenga posta Kali ya biz inafaa kuwa catchy like kama unatarget clients Kaa madame unaisuka color smart,changanya pale filters za photo za product unauza,weka location na address vile wanaeza kuholla,kuwa friendly na patient ukiboronja na customer weka options ndo mtu afikie Mali na Ile dooh Ako nayo yaani "bei ya kila customer" kuwa honest kuhusu kitu unakinda then fanya follow up if Mali ilifikia mteja vile inafaa 💯
0
0
0