
Yooo...niajeni entrepreneurs...niliquit job fulani poa but toxic sana on August. nikaanza biz ya kuuza mabuyu, kashata, njugu, sim sim,labania yaani snacks tamu tamu. Imekuwa poa and ime grow sana na pia fan base ime expand sana. But I have a problem...inahitaji expansion ndio nifikie watu wengi and I intend to produce snacks zile mingi hapa locally Embu..nime go short of funds in that earnings ndio zina ni feed pia. so nimerudi kwa employment najaribu to multi task ni raise funds sijui nimeuma nje ama? 🤔
0
0
0