
Yoooooooooooooooh 🤠Meshers!.Mko Fiti? mimi Niko fiti kabisa na nimewahata mbaya! Been chasing some few errands hapa kule glad community yetu tunazidi kujengana vinoma!.Nimefurahi Sana!.
So kuna hii story dem Fulani amenichapia pale inbox 📥! Kwamba amequalify loan na bado haijakuwa credited kwa number yake.Ningependa kuwajulisha kuwa, Eneza loan is credited immediately,once umeshamaliza ku-request. Ussd code ni hii: 84237#. Pia tukumbuke pale kwa survey weka number correct na I'd Yako!.Na hakikisha ukona sufficient airtime. Tuzidi ku-grow pamoja.Kupata knowledge on loans and be true to ourselves and honest to our lenders 💯.
Mkuwe na siku fiti wadau! .Incase msee akona swali unaweza nipata pale inbox or post hapa ndio mwingine akiwa na same issue im-jenge!.
Tuendelee kujoin hii group!.More tips & knowledge to come ✅🤗najua wengi wetu hapa hawakosi kwa ile kikosi ya 1.4 billion people ambao wako CRB so hapa ndio tutajua mbivu na mbichi !.Tujisavishe !.
#ShujaazBiz #Tujijenge #BizLoans