
You my guys mnakuanga talented in acting lakini mnaficha talanta buana. Nasema hivi ju naonanga tiktoks zenyu, hii kitu hukua poa sana most especially if uko known and famous juu gigz hua hazi die zina kuja zikifuatana..
Ebu acheni hio mchezo ya kukalia talents, try these ideas na mkiomoka msinisahau.
- Post ur small clips kwa social media eg tiktok,Instagram na Facebook
2.Kama hauko drama club join the clubs ata kama ni za church for free.
3.Try and apply for theatre acting itakusaidia exposure na pia skill mpya na picture yako pia.
- Share ur clips with friends pia wao wasambaze to enhance your network

0
0
0