
Young people tumeanza ku-rethink approach ya #Biz . Wasee wengi tumeanza ku-persue #Farming Ocha - yes it's true coz of the following;
- Young people hapa Kenya tuna struggle ku-make sustainable ways to make a living
- Wale hatuja-get well paying Jobs kwa cities tunarudi back Ocha ku-build careers in Agri-business
- Tukirudi Ocha kuchapa #Agribusiness kuna ile stereotype tuna-get kwamba tumeshindwa na life na tume-fail hence msee anaogopa kuanza farming.
Tutaogopa kweli?
#Fear #Farming #AgriBusiness
0
0
0