
Your experience with AI so far 💡
Juzi tumekuwa na release ya instant portraits app, Sasa unaeza tegeneza picha kadhaa in different places with just one selfie , kumekuwa na chat gpt pia na AI zingine kadhaa zinaoffer service tofauti..
So wewe kama mesher ama msee Ako kwa biz unafeel biz yako Iko endangered na AI ? Ama maybe in the long run we will all lose the authenticity of human work kila kitu ikuwe ni AI Sasa ?🤔 Or you still feel human work kwa vitu kama photography ama art work will always be recognized no matter what ?

0
0
0