Youth, business owners, na freelancers wanapambana daily clients wanataka kazi ya milioni na budget ya exposure, taxes ziko juu, na capital ni ndoto ya mchana