
Youth Enterprise Development Fund
Sisi last year tulikuwa lucky kupata financing from Youth Enterprise Development Fund. Its very possible and mkiwa na umoja and focus. Sisi tulianza first kuunda group, tuka come up na jina; MAY UPSCALE, tukakuwa na constitution, members list, then tukaenda kwa social services paid registration fee ya thao. After hapo ndio with the same documents tukafungua account ya group na minimum deposit ya thao, then tukachukua form online http://www.youthfund.go.ke tukajaza then kuna place unaenda kwa leaders wa hood yetu; Chief and advocate. Then after waiting for like 1 months ndio emails zikatumwa kwa all members and tukaweza access funds za kutusaidia ku run errands zetu. Ni possible mwanzo kwa wale wako na challenge ya kuanza biz. Great Week. #Tujijenge
