
Youths wa Busia, Kakamega na Vihiga. If you applied for Nyota grants na ukawa successful, look out for NYC trainings (National Youth Council). Ni mandatory ku-attend yaani ni lazima wakufundishe kutumia hizo grants kabla wakupee 💵.
Vijana, ni wakati wenu🕔, changamkieni Gvt. opportunities.

0
0
0